Tochi ya Mtazamaji
Habari Zote
WINDOWS8 INA NINI KIPYA
Nimekuwa nacheki mfumo endeshi wa Windows8 ukitoka rasmi kwa ajili ya matumizi itaku wa na nini. Kwa watumiaji wa kawaida ukipenda unaweza kuipakua Widnows8 na kuitahmini kwenye tovuti ya Microsoft . Na kwa watalaam wa kati na juu wa fani ya IT wanaweza kupakua developerSoma-zaidi
Simu za Samsung Galaxy
kampuni ya korea Samsung inakuja kwa kasi kwenye kwenye kutengeneza simu. Hivi karibuni wamezidiua model mpya ya simu Galaxy S3. Ni muendelezo wa Simu za Samsung Galaxy baada ya ile S2 Je
ina tofauiti gani na model mtangulizi wake yaaani Galaxy S2
TathminiSoma-zaidi
Baraza la mawaziri na umuhimu wa viongozi kuelewa TEKNOHAMA
JK Rais wetu mheshiwa kaamua kuunda baraza la mawaziri upya.Kuna umuhimu wa mawaziri viongozi kuelewa TEKNOHAMA na sayansi na teknoloia nyingine zilizpo karne hii.
Kwa hiyo usishangaeUtashangaa inakuwaje blog ya Teknohama bongo inaaaza kuleta habari za Siasa. Katika BlogSoma-zaidi
NOKIA ASHA simu YA BEI NAFUU
Katika kukidhi kiu ya wapenda “gadget” lakini wasiotaka kutumia mkwanjwa mkubwa kununua simu za bei mkubwa (High end)kama Nokia Lumia Nokia wamekuja Model ya Nokia asha.
Simu za Nokia Asha zinaelezwa kuwa na feature kama Apps zilizokwenye baadhi ya smartphone maarufuSoma-zaidi
Apple na Kali zao 2012
Mwaka 2011 tulishhudia mambo kama chromebook, Google+, iPhone 4s, iPad,Samsung Galaxy Note na vifaa vingne vingine vya elektroniki kama Blue Ray Disk player,nk . Makampuni kama Google, Apple,Yahoo,Facebook yako busy situ kwenye teknolojia bali hata kufikishana mahakamaniSoma-zaidi
Barcelona Walivyochapwa na Real Madrid
Nilipata muda wa kutazama mechi ya Real naBarcelna . Zaidi ya upinzani wa jadi kama wa hapa kwetu Tanzania kati ya simba na yanga mechi hii ndio ilikuwa kama muamuzi wa ubingwa wa la liga msimu huuutawenda wapi .Kama mpenda soka nitajarbu kuichambua kifundi na kitaalam. UkitofautianaSoma-zaidi
OLYMPUS Tough ina kinga nne
Kampuni ya Olympus wametoa Digital camera mpya kwa jina la Olympus Tough amabyo ina kinga nne
Kwa watu wonapenda kuchuua chukua picha za matukio na zaidi kwa wale wanatafuta digital kamera amabyo anajua itaumika na watu wengi kwenye familia basi kamera hii inawezakuwachaguasahihiSoma-zaidi
Microsoft wanatoa ruzuku kwa watengeza app.
Habari hii inaweza kuwa fursa kwa maprogramer wa Tanzania au afrika mashariki . Kampuni ya microsoft inatoa ruzuku ya pesa kwa Devloper ili watengeneze app za simu za windows
kutengeneza apps ya simu za kiasasa ni gharama na kwa mujibu wa baadhi ya mitandao Soma-zaidi
JOOMLA! 1.5 inafikia tamati sasa ipo 2.5
Katika moja ya uchunguzi wa mitandao niliowai kufanya niibaini tovuti za baadhi ya taasisi nyeti na kubwa kubwa na blog chache zinazopendwa hapa bongo zinatumia Joomla! toleo la 1.5. Mfano wa taasisi hizi ni kama NSSF ,TRA TBC .
Toleo jipya la 2015 lipo toka JanuarySoma-zaidi
KUJIANDAA NA USAHILI WA KITENIKI
Usahili ni moja ya changamto katika kusaka ajira. Hivi karibuni nimekuwa nikipita pitia vitabu mbali mbali hasa vinayohusiana na mambo ya TEKNOHAMA. Na chapisho hii habari kwa ufupi ni juu ya kitabu kimoja kanachoeleza na kudadavua USAHILI(Interview) za kitaalam naSoma-zaidi


